Ila JF bwana!

Ila JF bwana!

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"

Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne๐Ÿ˜‚

Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi

Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc

Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee๐Ÿ˜‚
 
Screenshot_20250207-234108.jpg
 
Kuna mwamba kauliza jana hivi "wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"

Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne๐Ÿ˜‚

Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi

Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc

Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee๐Ÿ˜‚
Mi nashangaa kila mtu anasema yupo nje ya nchi na kila mtu ana uwezo wa kuingiza milioni moja kwa mwezi.
 
Kuna mwamba alisema hawezi kuteswa na mapenzi, tuko nae hapa mpaka leo bado tunampepea ili azinduke baada ya kula kitu kizito siku ya wapendanao baada ya mpenzi wake kumpost mpenzi wake ๐Ÿ˜Ž
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuwa masikini jf ni kujitakia, hio ndege nanunua mwezi ujao dua zenu wakuu...
Nimepeleka fundi tayari wamefanya inspection, wamefanya test flight, nime negotiate bei, nimesha consult na legal na financial advisors... kilichobaki ni kuileta bongo tu..
34-gallery-1.jpg
Kuna yule jamaa aliesema allitisha malaya kutoka telegram akashangaa kumuona ndugu yake ila akachapa hivyo hivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
 
Back
Top Bottom