Ila JF bwana!

Ila JF bwana!

Maghayo na huyo The Mongolian Savage ni wayahudi hao jamaa.... sema wameishi sana bongo.
Siku hizi ameanza uchizi wake wa kusifia Mayahudi maana alitulia kwa amani sasa kaanza uchawa wake ,na kwa vile akianza tu uchawa na ukichaa wa kusifia Mayahudi huwa achelewi kwenda gerezani maana anashindwa kijishilikia basi namtabiria ban siku za karibu.

The Mongolian Savage , sasa umebaki na kichaka chako kimoja ambacho hiki tu sasa jichunge uchizi wako usikufanye ukapotea jukwaani humu sawa ?
 
Kuwa masikini jf ni kujitakia, hio ndege nanunua mwezi ujao dua zenu wakuu...
Nimepeleka fundi tayari wamefanya inspection, wamefanya test flight, nime negotiate bei, nimesha consult na legal na financial advisors... kilichobaki ni kuileta bongo tu..
34-gallery-1.jpg
Ikifika naomba kuja kupiga picha basi na wanangu, tujifanye tuko kwenye private jet Marekani.
 
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"

Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne😂

Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi

Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc

Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee😂
Hizo ni mambo za watoto sisi ambao tunakimbilia 4th floor tuna waambia ukweli vijana.

Huwezi pata nguvu za kiume kama hufanyi mazoezi.
 
Angalia hao jamaa wana Pegasus wataku hack..
Hahahahahah!! mimi nina system nzito waliwahi kujaribu team yangu ya kazi ikatembeza dozi nikawa salama , Kuna mwamba anapiga panga balaa nikiwambia tu shughulikia kima hilo Lichawa litakimbia humu mwamba mwenyewe ni kutoka Joseon Intelligent businessman
 
"Kuna mtu kaniibia M20, niliingia restaurant nkasahau juu ya meza" Alisikika mwanaJF.
😂😂😂😁😂😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂

Mara oooh, nimechaguliwa kwenda jumatatu kuwaangusha m23 alafu juma tano yake anapost picha za mademu wwnye makalio makubwa uzi wa warembo😂😂
 
😂😂😂😁😂😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂

Mara oooh, nimechaguliwa kwenda jumatatu kuwaangusha m23 alafu juma tano yake anapost picha za mademu wwnye makalio makubwa uzi wa warembo😂😂
Hehehe!
 
Back
Top Bottom