Ila JF bwana!

Ila JF bwana!

Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"

Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne😂

Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi

Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc

Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee😂
Hahahaha
 
Huo ni uongo, jf sio ya matajiri tu.
hata ma jobless pro max tupo.

Mimi ni raisi wa chama Cha ma jobless pro max.
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.

katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.

waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
OIG4 (1).jpeg
 
Kila mtu akpga stori. Utaskia kipind nadrive .. Watu kibao wana magari kasoro mm tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂😁😁😁😁 aiseee nimecheka duh


Mara oooh nilipofika salenda bridge ghafla gari ikaaanza kushtuka😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom