Kama kikwete angepata mawaziri kama magufuli kwenye utawala wake basi Tanzania ingekuwa mbali sana sema alizungukwa na wahuni wakaiba pesa ndefu matokeo yake 80% wametangulia mbele ya haki wameacha mali ila kikwete alikuwa na nia ya dhati ya kuivusha Tanzania sehemu Salama ila wahuni walimwingiza chaka mi namshukuru kwa kutujengea shule za kata maana bila hivyo ningekuwa mvuvi.