Ila Kikwete alikuwa na dhambi sana

Ila Kikwete alikuwa na dhambi sana

Kama kikwete angepata mawaziri kama magufuli kwenye utawala wake basi Tanzania ingekuwa mbali sana sema alizungukwa na wahuni wakaiba pesa ndefu matokeo yake 80% wametangulia mbele ya haki wameacha mali ila kikwete alikuwa na nia ya dhati ya kuivusha Tanzania sehemu Salama ila wahuni walimwingiza chaka mi namshukuru kwa kutujengea shule za kata maana bila hivyo ningekuwa mvuvi.
 
Umewahi kuishi kijijini ambako mgonjwa anabebwa kwenye machela? kama pesa za kununua magari ya ambulance hadi kwenye zahanati za kata ni sawa kabisa ikiwa ni pamoja na pesa ya kuyaendesha, vinginevyo hata hizo guta zinaweza kusaidia kuwahisha mgonjwa badala ya kubeba begani na kutembea.​
 
Back
Top Bottom