Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
Anaona picha kubwa

Wewe unaona channel ya katuni
 
Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
Unadhani kosa hapo ni lipi?
  1. Kumfumania mkewe au
  2. Mkewe kuliwa na njemba nyingine
Ukiweza kubaini kosa kati ya hayo mawili, hutaona ajabu huyo bwana kumsamehe mkewe.
 
Back
Top Bottom