Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Ndo hivyo. Bila uvumilivu kwenye ndoa hutoboi. Utaacha wangapi?
Mwanaume anahitaji heshima kutoka kwa mwanamke.

Je, Hicho ni kitendo kinachoashiria heshima?
 
Mwanaume anahitaji heshima kutoka kwa mwanamke.

Je, Hicho ni kitendo kinachoashiria heshima?
Hata mwanamke anaitaji heshima. Wewe nenda kacheat uone kama utaendelea kuheshimiwa kama mwanzo.
 
Mwanaume dhaifu tu ndiye anaweza kukubaliana na ujinga wa aina hii.

A real man unamwacha huyo mwanamke aende kwa huyo anayempa huduma nzuri.

Let her find the best place for her and never ever accept her again.
Halafu wewe unatafuta malaya anayetoka na wanaume wengi kila siku. Hiyo ni akili au matope?
 
Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
Ww unajua anapewa nini na mkewake?
 
Mwanaume dhaifu tu ndiye anaweza kukubaliana na ujinga wa aina hii.

A real man unamwacha huyo mwanamke aende kwa huyo anayempa huduma nzuri.

Let her find the best place for her and never ever accept her again.
Chukua bapa kubwa hapo 🍺👊.....

Tunaachana hapo hapo......

I don't need family meeting wala notice ya mshenga wala baba padri
 
Unatoka nje ya mada, Hapa tunajadili kuishi na mwanamke aliye cheat.

Nimekwambia hiyo ni disrespect, Siwezi kukubaliana nayo.
Sikupingi na mtazamo wako.
ASilimia kubwa ya wanaocheat ni wanaume, unadhani bado wanapata heshima ile ile ya mwazo au mke anadhara hadi na yeye kwenda kucheat? Think!
Achana nae kama wewe ni msafi.
 
Ni wiki kadhaa shule zimefunguliwa watoto bado hawajaenda shule wanaume kamili tunakuna vichwa wapi tupige dili tupate ada za watoto na hela za zawadi mwezi wa pili siku ya waoendanao alafu kanakuja kavulana kamoja kanamshangaa mwanaume mmoja kumsamehe malaika mmoja aliyepitiwa bahati mbaya .

Embu achana na mawazo mgando huwezi jua ni nini anapewa ambacho hata asipomsamehe wewe huwezi kumpa kikubwa twambie wapi tunapata milioni ya haraka tupate hela za ada na hela za zawadi maana Valentine imekaribia mdogo wangu
 
Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
Wanawake wa kileo wanapenda wanaume kama hawa na sahivi ndiyo wapo wengi sana kazi kwao
 
Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
Malimbwata hayo,kuna jamaa alikuwa ni mpangaji wangu alikuwa anachapwa fimbo na mkewe kila akichelewa kurudi nyumbani,mke wangu akaiga ujinga wakaanza kupelekana kwa waganga ili na mm nilishwe dawa nisiwe na kauli,kilichofuata nilimtimua mpangaji na huyo wife nikamtia talaka,
 
Ulipiga kwenye mshono
 
Apo lazima jamaa anajua mkewe alkua analipiza kisasi kwa aliyomfanyia,, tofauti na hapo mke ajiandae kwa bomu moja matata linasetiwa na huyo mume.
 
Back
Top Bottom