Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Mwataka nini kwani nyie 😅😅😅
Yaan hii game ya love and affairs hata haielewekagu. Dynamics zake ziko very shifting, never at all constant. Wengi hatujui hata nin tunataka.
Japo kwa wanaume angalau inajulikana tunapenda ni mapenzi ya kweli na utulivu baaasi.
Nikisimulia yangu hapa naogopa nisije fukuzwa kwenye chama chetu.
 
Tupe story kidogo basi 😅😅😅
 
Wanawake wa kileo wanapenda wanaume kama hawa na sahivi ndiyo wapo wengi sana kazi kwao
Waache wapigiwe tu, ili waendelee kusamehe...na wakishasamehe; Mwanamke anaendelea tna kupigwa miti nje, maana anajua hata akikamatwa tena, atasamehewa tu 7X70=490
 
vp kama na yeye aliwahi kusamehewa dhambi kubwa kuliko hiyo? Dont Judge a book
 
Usimseme huku haukumuuliza sababu na haukumuuliza mkewe pia y amefanya hayo.
Hakuna sababu inayohalalisha m/ke au me kutoka nje ya ndoa ,kama kuna mapungufu ni kuyaongea pamoja na kuweza kuyasolve kwa pamoja ,ukienda nje kisirisiri means hapo hakuna ndoa ni kuivunja tu.
 
Kuna watu wanafikiri anachofanyiwa na mkewe hawezi kukipata kwa mwingine basi ikitokea hali kama hiyo anashindwa kufanya uamuzi.
 
Huwa sielewi jinsi ya kuishi na huyo mchuchu yaani kitu gani atafanya ili akufanye utabasamu?
 
jaribu kunipigia debe kwa huyo jamaa yako, kuwa ninauza Mapanga yaliyoNOLEWA kabisa,....
 
Back
Top Bottom