Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Tumpe muda. Kila mtu ana mbinu zake za kivita..
Wewe unaweza kutumia maguvu na kuleta athari ndani ya muda mfupi. Yeye anatumia muda taratibu ili kikiwaka ushahidi ukosekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…