Ila kuna watu wa ajabu hapa

Kuna watu huzaliwa ili wengine tujufunze kitu toka kwao bila kujali ni kizuri au kibaya, huyu ni machuki, watu wenye chuki na kitu cha mtu au mtu mwenyewe bila sababu ya msingi yani basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…