Ila kuna watu wa ajabu hapa

Ila kuna watu wa ajabu hapa

Wakuu wazima nyie
Kuna jamaa humu ndani ananishangaza sana yaani yeye kila post ana dislike. Huyu jamaa anajiita sijui mdudu gani hapo. Kila uzi yeye reaction yake ni dislike tu. Huyu mwamba atakua iblis labda.

Jamaa anajiita Mdudu wa bunju

Ongezeni wenye tabia kama ya huyu mwamba mzee wa dislike

Ni haki yake ya kikatiba, kuna watu wana stress eti, ana enjoy kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom