Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Mjini hakuna shekhe,padri wala masister.Mjini watu wamelanduka hayo manguo ya viongozi wa dini yanavaliwa na yoyote huku mjini pipo zimepinda dadadeki kaa kimachale.

RULE 1; TRUST NO ONE!


#Chukulia mjini watu wote wahuni, wahuni sio watu!!!
 
 

Attachments

  • 1736011481931.jpg
    278.6 KB · Views: 4
Aisee hii kali.sana
 
Nimekuamini kooooote, ila pale ulipotoa pesa bila kuomba statement kama 1.5mil. imeingia, na kama haitoshi, ukaambiwa kabisa pesa hiyo hamna.., hapo nimegoma kuamini..
 
Mkuu hii elimu ninatamani kuijua maana bi mkubwa alipigwa 14m ya vicoba, wallah ningekuwa simfahamu vizuri na ni kijana bado ningesema aliwapiga wanakikoba wenzake...yaani alitoka na wezi mwendo wa kama kilometa 15 mpaka nyumbani kwake na kuwapa wezi sanduku la pesa kwa mkono wake mwenyewe...
 
pole ndugu dunia sio fair , wenda Mungu akakurudishia hii kwa njia nyinge mara 10 yake , kila utokea kwa sababu
 
Watu ni noma kosa lako ni kuwasogelea ukiwa unatoka bank au atm never and ever kumuitikia mtu. Somewhere natoka atm kuna kamama kakaniita nikakambia pishaaa kwa ukalii kila mtu alisikia nikakakwepa mbele kuna jamaa wananiambia mwamba umejiokoa ungepigwa kiulaini. Yaani mm tukikutana njiani usiniite kama sikujui sikujui hata uniite majina yangu ya utotoni sikusogelei kamwe. Na ole wa mtu aniguse ni ngumi atapata. Inshort wanatumia dawa ya kupumbaza na wana uhakika kuwa hukosi hela
 
Na aina hii ya utapeli huwa inafanya kazi kwa ufahasa kwa wanawake mpo weak sana kwenye ulimwengu wa kiroho pole sana walichukua akili yako kwa muda
Kabisa hii wana wasogelea wana wake ndugi yangu mmoja wa kike walimwosha 900k katoka kutoa ATM hii ilinipa somo
 
Uko sahihi.wanawake wanaamini sana kirahisi rahisi.Swala la tahadhari au udadisi kwao sio kipaumbele.Tunawaona wengi sana uku kwenye jamii zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…