Ila kutapeliwa kunauma wakuu

HAKUNA UCHAWI HAPO. Wanawake ni RAHISI SANA KUTAPELIWA Kuna sababu nyingi kama kua wepesi KUAMINI, fikra finyu, uwezo mdogo wa kupambanua mambo nk.

Alafu kurationolise ufinyu wa akili zenu mkitapeliwa mnakimbilia kusema mlirogwa na hiyo inathibitisha zaidi ufinyu wa akili zenu. Anyway pole

Kwanini wanaune hua hawarogwi na kutapeliwa wakati ndio watu wenye mapesa mengi kuliko wanawake, kwanini wanaume hua hawarogwi na hawatepeliwi kisenge ?! HAKUNA UCHAWI HAPO, WANAWAKE HUAMINI KIRAHISI NA WANA AKILI FINYU, viumbe dhaifu full stop.
 
HAKUNA UCHAWI HAPO. Wanawake ni RAHISI SANA KUTAPELIWA Kuna sababu nyingi kama kua wepesi KUAMINI, fikra finyu nk.

Alafu kurationolise uginyu wa akili zenu mkitapeliwa mnakimbilia kusema mlirogwa na hiyo inathibitisha ufinyu wa akili zenu.
Usimseme hivyo bonge unataka alie tena mkuu yaan hapo ana machungu balaa unataka alie kwa kugalagala chini km alivyofanya jana muonee huruma bonge basi
 
sio uchawi ni kucheza na akili tu( mind game) jifunze kutomuamini mtu hata kidgo!? Hasa kuhsu suala la pesa....matapeli ni wengi sanaa! chukua tahadhari utakuwa umejua mchezo wao
 
Hizo si uchawi ni mind games tu...watu wanasemaga uchawi ili wasionekane wajinga coz uchawi hauna evidence...wamecheza na psychology...me ishawahi nikuta na nilifanikiwa kusanuka last minute..me Hadi gari nilipanda so ningeweza kusema nimerogwa ila ni psychology tu ikitokea hivyo unajifunza huwezi tapeliwa kizembe... sijawahi ona mtu anatapeliwa mara mbili za hivyo barabarani
 
Pole sana.
Kuna watu watakuja kukwambia huna haja ya kuumia sababu waliokutapele ni watanzania wenzako na wenyewe wana familia zinawategemea, hivyo hela hiyo imebaki nnchini na imeenda kusaidia watanzania wenzako.
 
Pole dear umetupa somo
 
Pole sana,
Jitahidi sana wema wako usizidi uwezo wako.

Mungu akubariki, Mungu akutie nguvu.
Aimen 🌹
 
Mara nyingi michongo kama hiyo ina involve watumishi wa ndani ya bank wasio waaminifu, ndio hao wanaotoa taarifa zako kwa hao waalifu walio nje ya bank , ikiwemo majina yako na kiasi cha Fedha kilicho kwenye akaunti yako, ndio maana inakuwa rahisi mtu kutapeliwa maana wahalifu tiyari Wana info zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…