Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Dipresheni hiyo kwani sifai 😂Shindwa na ulegeee🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dipresheni hiyo kwani sifai 😂Shindwa na ulegeee🤣
Aaah dipresheni kaa mbali na binti yangu🤣Dipresheni hiyo kwani sifai 😂
Mkwe sijapenda 😅Aaah dipresheni kaa mbali na binti yangu🤣
Uchawi upo Ila hapa ametengenezwa akili yake kutokana na namna matapeli walivyojiweka kimwonekano wao, na yale mazingira waliyoyatengeneza ya kuaminika Kwa kuwa na gari. Pia ni lazima Kuna mtu ndani ya bank kauza majina kamili ya mtapeliwa. Halafu kuna kitu bidada ametuficha, huenda aliahidiwa Asante hii ndiyo ikawa chambo ya kumshawishi apoteze muda wake kufanya hilo zoezi lililomgharimu.Hizo dawa nazijua, zishatumika sana kwangu hadi nikaona isiwe kesi acha nikajigange..😅😅😅
watu tunaofanya kazi za kukopesha huku mitaani tunatafuniwa sana hizo dawa
kwa kesi yako wewe, hao watu ni makonki.masta si mchezo, kuna Jini la utambuzi huwa wanalo so kabla ya kuongea na wewe unarushiwa kifurushi kwanza ndio unakaa sawa
MhhMmh!aisee pole sana
Pole sana mkuuMimi mkesha wa Christmas nilienda kupokea mrembo mkali kutoka mkoa pale magufuli stand ndan 🤣🤣🤣🤣
Nimeingia kuna bench zipo saa nane usiku hiyo kidogo tu kausingizi huwez amin waliondoka na simu na wallet 🤣🤣🤣
Walivyochana surual na viwembe afande alinicheka Sana 🤣🤣🤣🤣
Ukiona kibaka usiache kumpiga mawe
Duh,Nimeingia kuna bench zipo saa nane usiku hiyo kidogo tu kausingizi huwez amin waliondoka na simu na wallet 🤣🤣🤣
Kitendo cha kuwapa AIRTIME, umekwishaaaa!!Huu mwaka umekua wa hovyo mapema mnoo aisee,
Habari zenu kwanza wakuu
Mwenzenu jana nimetapeliwa, na nikiri tu kuwaambia uchawi upo wakuu, Ilikua jana kuna hela nilipatiwa nikamlipie dogo Ada, Nimeenda bank( NMB)nimelipa, ile wakati natoka nikawa naelekea ile njia ya sokoni ili nikapite vile NBC then Mtaa wa zanzibar nichukue baadhi ya vitu halafu nirudi Nyumbani.. Asa wakati natembea mbele yangu kulikua na Gari Hillux ( sijui ndio hilohilo jina, ila ni haya wanatembeleaga sana wakandarasi sikufanikiwa kukariri plate number zake) Limeandikwa St. Joseph ila sikuweza kumalizia ni St Joseph nini maana kuna mtu alikua ameegemea pale kwenye Maandishi..
Napita akaniita kwa majina yangu matatu kabisa, Dada Lee habari?,, nikaitikia salama za kwako?, akanijibu tu safi za masiku nikamwambia salama nikawa nataka kuendelea kuondoka sikuwaza kwasabu nilijua huenda mteja niliwahi kumuhudumia kunijua majina yangu sio kesi,. Kabla sijafika mbali akaniita tena Akaniambia nashida mara moja naomba nisaidie nikamuuliza shida gani?,. Akasema yuko na sister mle ndani na kweli alishusha kioo ni mama mmoja hivi kavaa mavazi yale ya masista,.
Akaniambia mwanangu nina shida naomba nisaidie,. Nilikua natoa hela pale Atm bahati mbaya nimekosea pin mara3, Kadi Yangu imemezwa nasiwezi kwenda ndani kutoa sina kitambulisho,, sasa nataka uende kuna mtu nimeongea nae akahamishie hela kwenye account yako halafu utoe unipatie,,. ( Kwanza kwa maelezo kama hayo wakuu mtu mwenye akili timamu anaona kabisa hayana mashiko, kwanza kutoa hela kwenye Account yako na kitambulisho wapi na wapi?, alijuaje nina NMB account?, na kwanini asimtume yule kijana??,,. )
Basi dada enu ndo nlikua nisharogwa nahisi nikasema sawa,. Nipe namba ya huyo mtu akasema ukienda tu atakuona akachukua karatasi akaandika kiasi Tsh. 1.5m na akaomba nimtajie namba yangu ya Account nikamtajia basi nikaingia ndani, Mwenzenu nikiri tu sikua naelewa chochote mpaka wakati huo😥 ,. Nikaenda moja kwa moja nimejaza slip ya kutoa hizo hela na ni Account namba yangu niliandika,. Nimekaa foleni mpaka nimefika dirishani yule dada ananiambia mbona Acount yako haina hilo salio dada?,. Kiukweli sikua na hiyo hela ila akili yangu ilikua inaniambia kuna hela zinaingia so itakuwa ipo,. Nikamwambia yule dada basi tutoe kwanza hiyo iliyokuwepo nikarudi kujaza slip upya nikatoa laki6 na 15,. Nikarudi kule nje nikamwambia yule sista bado hawajaingiza ipo ileile yangu akaniambia nipe hiyo kwanza sisi tumwahi mgojwa wewe kaa dakika tano nenda tena watakua washahamishia hela kwako na sisi tunakuja mda sio mrefu,. Si nikakubali nimekaa weeee Pale nje sokoni kila nikienda ndani naambiwa hakuna salio..
Baadae sana ndio napata wazo hawa watakua washanitapeli maana hawakunipa hata namba yao, na Namba yao ya Account wala chochote ile karatasi waliandika tu kiasi na namba yangu ya account niliyowatajia ( Aisee jamani nimelia jana tena sanaaa),. Nikawafata wale walinzi nikawaambia nikawaelekeza na walikokua wamepark gari wanasema kule mbali sana Cctv camera haziwezi zinaonyesha kitu ( Ni kule karibu na mlango wa kuingilia soko kuu kwa mbele kidogo kama unataka Ukunje kona uende NBC),. Polisi nako ndio vilevile jana hamna hata cha maana nilijibiwa,. Na sijui ile gari ilikua ni ya St. Joseph University, St. Joseph Primary school, Hospital au ni nini??.
Nachoshukuru ni kwamba nilifanikiwa tu kulipa Ada ya dogo maana Bila hivyo walahi mzee angenikata kichwa au yeye afe kwa Pressure,.
Ila kuna watu ni wakatili sana, mlaaniwe nyie wakujiita watumishi wa Mungu halafu kumbe ni wezi,. For real wamenitia Umasikini maana ndio ilikua hela yangu ya mwisho. Mwaka ushakua wa Hovyo huu,. Tuwe makini jamani matapeli bado wapo na ninahisi wanatumia uchawi maana sio bure🤔ðŸ˜
Umeniudhi, kama vile nimeibiwa mimi!Huu mwaka umekua wa hovyo mapema mnoo aisee,

Pole sana dada Lee tuwe makini sana na matapeli maana yanaumiza sana mambo kama haya nilishawahi kutapeliwa ada aisee siwez sahau hiki kipindi nilipata shida sanaHuu mwaka umekua wa hovyo mapema mnoo aisee,

Ila kuna watu ni wakatili sana, mlaaniwe nyie wakujiita watumishi wa Mungu halafu kumbe ni wezi,. For real wamenitia Umasikini maana ndio ilikua hela yangu ya mwisho. Mwaka ushakua wa Hovyo huu,. Tuwe makini jamani matapeli bado wapo na ninahisi wanatumia uchawi maana sio bure🤔
Mkuu ulishawahi kutapeliwa kama bado muda wako unakuja kuwa tayariUmeniudhi, kama vile nimeibiwa mimi!
Unafanya withdrawl ya kujifirisi kisha unaenda kukabidhi mpunga bila ya kuwa na doc yoyote inayohusu kutress hela waliyokuahidi!
Dah!
Habari zingine zinaumiza sana, bora mgelikuwa mnakaa nazo kimya mkishatendwa bhana.
Hawako bure wale umbwa watakuwa wanatumia madawa! Siku nikikuta raia wanamshughulikia tapeli lazima nimkate koromeo!Pole Sana
Kama hii story ni ya kweli .
Basi wajinga wanakufa na kuzaliwa na hawatoweza kuisha hapa duniani.
Unatepeliwa kijinga namna hiyo Mkuu.