Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
 
Mange kaingiza wajinga chaka, eti jeshi litawalinda huu ni uongo wa karne, kaulisha watu bure, serekali ya CCM kweli uiangushe kwa maandamano ya Jay Z
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Kuna mtu kajitangaza huko kuwa ni shoga
 
Uoga ndiyo umeshaondoka...usimsingizie Mange. Kama watu wangukuwa waoga wkusingekuwa anayeikosoa serikali.
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Hivi ni kweli bosi wenu analiwa?
 
Kuandamana ni haki ya kikatiba. Uhalali wa fazafaka Samia kuua raia alioapa kuwaongoza kwa kufuata Katiba yao uko wapi?
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Wewe utakuwa Shoga kama familia ya kizimkazi
 
Nyumbu siku zote ni chakula cha mamba, hata amuone mamba kalala pale Nyumbu siku zote huwa haamini anasema ni gogo lile mwisho wa siku analiwa, ndo wafuasi wa Mangekimambi walivyodanganywa wakaingia mkenge kama wafuasi wa kibwetele
Tutakua nyumbu kwa ajili ya tanzania....
Yes we are ready ro die....kama unafkirira ni mange endelea kuamini ni mange....uzuri tunascreenshot every tip of your comments...
#tutafika tu
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Serikali imeifungia JF kwa nini unavunja sheria kwa kutumia mtandao haramu? Wewe ni mhaini unyongwe
 
Back
Top Bottom