Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

Nyumbu siku zote ni chakula cha mamba, hata amuone mamba kalala pale Nyumbu siku zote huwa haamini anasema ni gogo lile mwisho wa siku analiwa, ndo wafuasi wa Mangekimambi walivyodanganywa wakaingia mkenge kama wafuasi wa kibwetele
Wewe ***** unafanya nini humu JF wakati serikali yako imeifungia JF? Umevunja sheria upigwe risasi ya kichwa na Mafwele
 
Sasa kama kawaamsha wengi,wewe mbona bado umelala na haujaingia road?

December ingia ngomani na wewe ucheze

Nyie wenyewe waoga ma keyboard warrior si mtoke hadharani mseme mnayosema Kwa media watu wajueni Kwamba mnshangaria vifo vya waandamaji kama mtatoboa ebo, acheni mbwembwe tu
 
Ny

Wewe acha ke.lele

Ikifika december ingia uwanjani na utoke huku JF

Njoo road kama vibaka wenzako tucheze dance ya kufa na kupona pale
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Mbongo ni mjinga sana yaan kuna vitu anaongea mange unaona kabisa ni uongo lkn kuna mambulula hawaelewi yaan waliomfollow mange na wao nao ni vichaa ukimuangalia mange ana tatizo
 
Nihaki lakini mpaka alietunga akuruhusu
Lakini kwawalichofanya sio maandamano niuwizi inawezekanaje mtuu anavamia mgahawa wa mjane nakula chakula nakuiba masufuria

Yes,kuchoma Mali Kwa kigezo Cha kuandamana kudai haki ni Kosa la jinai,
Hilo halipingiki,

Vipi kuhusu wahuni walio ingia mtaani wakipiga Risasi hovyo na Kua Rai wema majumbani wawo mbona hatusikii wamekamatwa?

Kuweni balanced na objective.
 
Hiyo issue ya Tesha kweli ipo suspicious, but who’s Mange guys.. she can prove her facts right
 
Kuandamana ni haki ya kikatiba. Uhalali wa fazafaka Samia kuua raia alioapa kuwaongoza kwa kufuata Katiba yao uko wapi?
Mnaandamana wapi nyie panya road mmekuja na style nyingine safari hii mkifanya ushenzi wenu tutawaambia polisi wapumzike sisi ambao tunachapa kazi tutapambana na nyie panyaroad tutawachoma moto
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Kama kwa kusikia ccm inapokonywa madaraka, kumewapa matumaini WaTz wakatoka, inakupa taswira gani kuhusu uhusiano wa ccm na WaTz?
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Yaani nimeshaandika sana sana kuhusu mange alivyo tuweza watanzania na anavyotushika mawazo yetu kwa sababu ameweza kutuchezesha sana inaniuma ni mpumbavu na watu wamekubali kuwa wapumbavu kusikiliza upumbavu wake , eti JESHI LIMEMHAKIKISHIA KWELI? YAANI YEYE KESHAKUWA MSEMAJI RASMI WA JWTZ ? LEO AMESABABISHA VIFO VYA WATOTO WETU KARIBU 1000 Na wengine watafungwa kwa ajili yake
 
Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.

Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.

Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .

Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana

Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE

Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.

Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .

Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Lazima mjiulize shida iko wapi. Kama rais na ccm walifanya kampeni ya siku 60 nchi nzima voters turnout ikawa ndogo vile, ina maana Mange anasikilizwa kuliko rais aliyewahakikishia usalama wapiga kura, huku akiwa na sifa kuwa kamaliza bwawa la umeme, kajenga hospitali, SGR nk. Yaani ni aibu hata kuleta utetezi wa hivi hapa jukwaani.

Tarehe 9 december tuko barabarani tena kwa amani. Mkitugusa tu mjue tutarudi wote lockdown. Madai yetu ni serekali ya mpito, kupatikana katiba mpya ya wananchi, na tume huru ya uchaguzi, kuachiwa wote mnaowabambikia kesi sasa, kuwajibishwa wote walioshiriki kwenye mauaji ya tarehe 29 na 30.
 
Wewe ni mpumbaavvuu
Kumbuka ndugu zetu wamefariki
 
Wewe acha ke.lele

Ikifika december ingia uwanjani na utoke huku JF

Njoo road kama vibaka wenzako tucheze dance ya kufa na kupona pale

Kijana acha mihemuko, we are Dead body all, it's just matter of time sequence, usiwe mpumbavu kiasi hicho kisa tupesa na tumadaraka tunapita ,be informed unaweza shindwa kuamka kuliona jua na hao unaowatetea hawata kurudishia pumzi ,

Go back to humanity principles and morals

Usitishe uhai wa mtu , death is for everyone ni swala la muda pole Yako.

Unatishia Kua kama utaishi milele !!?

Tendeni haki kama uko na nafasi huko kaburini tunako enda hakutakuwa na mbabe,
Alikuwepo Hitler,Stalin watu wa wakiu na damu za watu lakini wote walipita na haki ikasimama.

#Jengeni Taifa linalosimamia misingi ya haki na usawa Kwa wote.
 
Lazima mjiulize shida iko wapi. Kama rais na ccm walifanya kampeni ya siku 60 nchi nzima voters turnout ikawa ndogo vile, ina maana Mange anasikilizwa kuliko rais aliyewahakikishia usalama wapiga kura, huku akiwa na sifa kuwa kamaliza bwawa la umeme, kajenga hospitali, SGR nk. Yaani ni aibu hata kuleta utetezi wa hivi hapa jukwaani.

Tarehe 9 december tuko barabarani tena kwa amani. Mkitugusa tu mjue tutarudi wote lockdown. Madai yetu ni serekali ya mpito, kupatikana katiba mpya ya wananchi, na tume huru ya uchaguzi, kuachiwa wote mnaowabambikia kesi sasa, kuwajibishwa wote walioshiriki kwenye mauaji ya tarehe 29 na 30.
sawa utakuna na unachokihitaji siku hiyo
 
Nihaki lakini mpaka alietunga akuruhusu
Lakini kwawalichofanya sio maandamano niuwizi inawezekanaje mtuu anavamia mgahawa wa mjane nakula chakula nakuiba masufuria
Ni Ibara gani inayotaka waandamanaji waombe kibali kuandamana?

Ni lini umewahi kuona maandamano dhidi ya Serikali ambayo hayakushambuliwa na Jeshi la polisi?
 
Back
Top Bottom