Wewe ***** unafanya nini humu JF wakati serikali yako imeifungia JF? Umevunja sheria upigwe risasi ya kichwa na MafweleNyumbu siku zote ni chakula cha mamba, hata amuone mamba kalala pale Nyumbu siku zote huwa haamini anasema ni gogo lile mwisho wa siku analiwa, ndo wafuasi wa Mangekimambi walivyodanganywa wakaingia mkenge kama wafuasi wa kibwetele
Nihaki lakini mpaka alietunga akuruhusuKuandamana ni haki ya kikatiba. Uhalali wa fazafaka Samia kuua raia alioapa kuwaongoza kwa kufuata Katiba yao uko wapi?
Sasa kama kawaamsha wengi,wewe mbona bado umelala na haujaingia road?
December ingia ngomani na wewe ucheze
😀😀😀😀🙌Mbona kama watu wote mnao reply mpo room moja , rhymes na themes kama ni watu mnaoshinda pamoja ila IDs tofauti
Wewe acha ke.leleNy
Nyie wenyewe waoga ma keyboard warrior si mtoke hadharani mseme mnayosema Kwa media watu wajueni Kwamba mnshangaria vifo vya waandamaji kama mtatoboa ebo, acheni mbwembwe tu
Mbongo ni mjinga sana yaan kuna vitu anaongea mange unaona kabisa ni uongo lkn kuna mambulula hawaelewi yaan waliomfollow mange na wao nao ni vichaa ukimuangalia mange ana tatizoNature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.
Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.
Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .
Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana
Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE
Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.
Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .
Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Nihaki lakini mpaka alietunga akuruhusu
Lakini kwawalichofanya sio maandamano niuwizi inawezekanaje mtuu anavamia mgahawa wa mjane nakula chakula nakuiba masufuria
Mnaandamana wapi nyie panya road mmekuja na style nyingine safari hii mkifanya ushenzi wenu tutawaambia polisi wapumzike sisi ambao tunachapa kazi tutapambana na nyie panyaroad tutawachoma motoKuandamana ni haki ya kikatiba. Uhalali wa fazafaka Samia kuua raia alioapa kuwaongoza kwa kufuata Katiba yao uko wapi?
Kama kwa kusikia ccm inapokonywa madaraka, kumewapa matumaini WaTz wakatoka, inakupa taswira gani kuhusu uhusiano wa ccm na WaTz?Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.
Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.
Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .
Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana
Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE
Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.
Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .
Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
😀😀😀😀🙌
Wewe unaonaje hiyo flow sio kama anaandika mtu mmoja au watu wanaoshinda pamoja ? Roommates? Workmates
Yaani nimeshaandika sana sana kuhusu mange alivyo tuweza watanzania na anavyotushika mawazo yetu kwa sababu ameweza kutuchezesha sana inaniuma ni mpumbavu na watu wamekubali kuwa wapumbavu kusikiliza upumbavu wake , eti JESHI LIMEMHAKIKISHIA KWELI? YAANI YEYE KESHAKUWA MSEMAJI RASMI WA JWTZ ? LEO AMESABABISHA VIFO VYA WATOTO WETU KARIBU 1000 Na wengine watafungwa kwa ajili yakeNature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.
Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.
Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .
Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana
Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE
Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.
Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .
Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Lazima mjiulize shida iko wapi. Kama rais na ccm walifanya kampeni ya siku 60 nchi nzima voters turnout ikawa ndogo vile, ina maana Mange anasikilizwa kuliko rais aliyewahakikishia usalama wapiga kura, huku akiwa na sifa kuwa kamaliza bwawa la umeme, kajenga hospitali, SGR nk. Yaani ni aibu hata kuleta utetezi wa hivi hapa jukwaani.Nature tu wabongo waoga sana .
Wengi tunajua hili.
Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize.
Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano .
Eti kuna kaubishi kidogo kati ya Dar es salaam na Arusha. Hivi jeshi likitaka kuchukua hatamu linakaa kujadiliana
Akili za wabongo daaaah 😭 😭.
Kinjikitile MANGE
Sasa kaja na propaganda nyingine ya Tesha kaenda kujinoa na kuchukua silaha za kivita.
Wapo watakaojazwa kuingia road wakiamini nyuma yao yupo Tesha na jeshi lake kuwapigania .
Maskni vijana wa watu wanakwenda kuangamia.
Wewe ni mpumbaavvuuNature tu wabongo waoga sana .

Wewe acha ke.lele
Ikifika december ingia uwanjani na utoke huku JF
Njoo road kama vibaka wenzako tucheze dance ya kufa na kupona pale
sawa utakuna na unachokihitaji siku hiyoLazima mjiulize shida iko wapi. Kama rais na ccm walifanya kampeni ya siku 60 nchi nzima voters turnout ikawa ndogo vile, ina maana Mange anasikilizwa kuliko rais aliyewahakikishia usalama wapiga kura, huku akiwa na sifa kuwa kamaliza bwawa la umeme, kajenga hospitali, SGR nk. Yaani ni aibu hata kuleta utetezi wa hivi hapa jukwaani.
Tarehe 9 december tuko barabarani tena kwa amani. Mkitugusa tu mjue tutarudi wote lockdown. Madai yetu ni serekali ya mpito, kupatikana katiba mpya ya wananchi, na tume huru ya uchaguzi, kuachiwa wote mnaowabambikia kesi sasa, kuwajibishwa wote walioshiriki kwenye mauaji ya tarehe 29 na 30.
Ulishawahi kununua K yake?Mange ni mala.ya kama ma.laya wengine ambao biashara za ufuska zimemshinda na mwisho wake kaamua kuwafanya hawa ma.fala misukule yake.
Ni Ibara gani inayotaka waandamanaji waombe kibali kuandamana?Nihaki lakini mpaka alietunga akuruhusu