Ila Mikia wana run media watakavyo. Hizi mbinu sijui wanazitoa wapi?

Ila Mikia wana run media watakavyo. Hizi mbinu sijui wanazitoa wapi?

Hilo la utpolo kuipromote zaidi simba kuliko timu yao ni kweli kabisa. Mfano, nimeangalia msemaji akiitambulisha jezi ya utopolo, katika dk 30 alizotumia kuielezea jezi, dk 16 ametuimia kuitaja simba hahahaa
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom