mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Ila angetuachia tu edo kipindi kile tusingekua na haya maujinga ya sasa iviHabarini JFcians!
Kutokana na mitazamo ya wengi kuhusu watu wa pwani, watu wa pwani wanachukuliwa kama ni weak kiakili na hata kiuchumi.
Jambo linalonishangaza mpaka leo hii ni hili la Mkwere na Edo!
Hivi inakuwaje mtu wa kaskazini anakuwa outsmarted na mtu wa pwani?
Ni wazi Mkwere alikuwa ahead of the game, ukizingatia walikuwa marafiki before.
North got defeated by coast!
This man is very intelligent!
NB
Ni mtazamo wangu!
Never! Alikuwa outsmarted kitaalamu sana. Mkwere mjanja sana.bas nikajua mkwere wa mizengwe
kumbe mkwere wa mizengwe ya siasa
marehemu eddo alikuwa smart sema mwoga, angeamua kukinukisha ilikuwa balaaa
Hizo ni changamoto katika kaziAlishika mpini japo chamoto alikiona
Ila alimu-outsmart! Haibadilishi chochote.Alishika mpini japo chamoto alikiona
Hilo ni kweli analo, linaonekana.ni mtu fulani hawezi kupanic
anautulivu wa akili.
ameridhika na anatamani kila mtu apate.
Story za sijui watu wa kaskazini ni smart mara wajanja, huenda ni matango pori. Ni wa kawaida mno kwa scenario ya Mkwere na Edo.Kweli nakubaliana na hoja na comments zote..
Watu wenye hekima hushinda kirahisi sana vita zaoHabarini JFcians!
Kutokana na mitazamo ya wengi kuhusu watu wa pwani, watu wa pwani wanachukuliwa kama ni weak kiakili na hata kiuchumi.
Jambo linalonishangaza mpaka leo hii ni hili la Mkwere na Edo!
Hivi inakuwaje mtu wa kaskazini anakuwa outsmarted na mtu wa pwani?
Ni wazi Mkwere alikuwa ahead of the game, ukizingatia walikuwa marafiki before.
North got defeated by coast!
This man is very intelligent!
NB
Ni mtazamo wangu!
Mkwere aliandaliwa kua kiongozi na alizungukwa na born town wengi ndo maana aliwazidi ujanja washkaji zake na aliwamaliza kisiasa.....alimmaliza Edo Kwa kete ya Richmond alimmaliza Samwel Sitta kwa kete ya 'gender balance'
Uongo?Duuuh
Rudia kusoma mchango wako kisha ubaini makosa yako.Watu wenye hekima kirahisi sana vita zao