Ila Mkwere ni smart mno kichwani!

Ila Mkwere ni smart mno kichwani!

Basi bwana mkwere akaambiwa huyu jamaaa anakupoteza siku si nyingi mtoe angali mapema... Mkwere akakaza kinoma kwamba wametoka mbali.....

Watu wakakaaa wakaanda mpango mzima... Wakasafirisha watu wakafanya Kila kitu... Mkwere anastuka kumekucha wajanja washatengeneza Kila kitu na mkwere hawezi Tena kuchomoa.... Watu wakala kichwa mkwere anaangalia mchezo haamini...

Kiufupi hawakuwahi kuwa maadui na wote walikua outsmarted.
 
Sidhani kama uliyoeleza yana ukweli wowote.
Basi bwana mkwere akaambiwa huyu jamaaa anakupoteza siku si nyingi mtoe angali mapema... Mkwere akakaza kinoma kwamba wametoka mbali.....

Watu wakakaaa wakaanda mpango mzima... Wakasafirisha watu wakafanya Kila kitu... Mkwere anastuka kumekucha wajanja washatengeneza Kila kitu na mkwere hawezi Tena kuchomoa.... Watu wakala kichwa mkwere anaangalia mchezo haamini...

Kiufupi hawakuwahi kuwa maadui na wote walikua outsmarted.
 
huyo baba mnafiki na mzandiki sana, sijui hata mnamsifia nini….
As for Edward, I think haikupangwa tu awe president in this lifetime!
IMG_7214.jpeg
 
kuna tofauti kati ya high intelligence (high iq) na narcissism, usichanganye hayo mawili, kuna watu hawana mipaka they will go to the lowest low kupata watakacho sasa hiyo siyo high iq bali ni kukosa boundaries, achhh it’s too complicated …
 
Mkwere aliandaliwa kua kiongozi na alizungukwa na born town wengi ndo maana aliwazidi ujanja washkaji zake na aliwamaliza kisiasa.....alimmaliza Edo Kwa kete ya Richmond alimmaliza Samwel Sitta kwa kete ya 'gender balance'
Sitta alikuwa na shida gani??
 
Sio mwoga lowa
bas nikajua mkwere wa mizengwe
kumbe mkwere wa mizengwe ya siasa

marehemu eddo alikuwa smart sema mwoga, angeamua kukinukisha ilikuwa balaaa
sa japo naichukia Arusha Alikuwa low key na ana hekima yule jamaa
 
Habarini JFcians!

Kutokana na mitazamo ya wengi kuhusu watu wa pwani, watu wa pwani wanachukuliwa kama ni weak kiakili na hata kiuchumi.

Jambo linalonishangaza mpaka leo hii ni hili la Mkwere na Edo!
Hivi inakuwaje mtu wa kaskazini anakuwa outsmarted na mtu wa pwani?

Ni wazi Mkwere alikuwa ahead of the game, ukizingatia walikuwa marafiki before.

North got defeated by coast!

This man is very intelligent!

NB
Ni mtazamo wangu!
Sasa ndiyo Mnajua Baba Riz ni smart poleni sana. Baba Riz hakika alikuwa ni presidential material toka enzi za Benja anapigiwa pande na mzee wa Mwitongo. Baba Riz ni muungwana ajabu. Heshima Mlima!
 
The state ilimtumia mkwere kusambaratisha wanamtandao ,bila state mtandao ungemzidi nguvu sana!
 
Unless uko karibu sana na mwanasiasa kama familia yake, humjui mwanasiasa alivyo.

Unayoijua ni public image ya mwanasiasa iliyokuwa very well cultivated.

Na mara nyingi watu wana project matumaini yao na matakwa yao kwenye hiyo public Image ya mwanasiasa.

Kwa hivyo, mwanasiasa hata akiweza kufanya kitu kwa bahati tu, mshabiki wake atasema ni kwa sababu huyo mwanasiasa ni smart, huku aki fumbia macho mengine yote yaliyoonesha mwanasiasa huyo si smart.

Kama Kikwete alimuona Lowassa ana matatizo kweli, akamtoa, basi Kikwete si smart hivyo, kwa sababu alitakiwa kuona huyu hatanifaa kabla ya kumteua Waziri Mkuu. Asingemteua kabisa. Hakulazimika kumteua mtu ambaye angemletea matatizo.

Hapo naweza kusema Kikwete kazidiwa u smart na Mkapa ambaye alikaa na Waziri Mkuu wake mmoja Frederick Sumaye kwa miaka 10 bila ugomvi naye wala kumbadilisha.
 
Back
Top Bottom