mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa mchango wako!Karne hii kujudge mtu kulingana na ukabila wake na ukanda aliotokea, huo tunaita Ushenzi na upumbavu wa kukosa ustaarabu.
Akili haipimwi kwa aina ya ukabila wala ukanda, acheni utoto