Ila Mkwere ni smart mno kichwani!

Ila Mkwere ni smart mno kichwani!

Uko sahihi, hizi fikra tu za watu flani wanaojisikia ndiyo wanakuja na mawazo kama hayo. Suala la usmart wa mtu ni majaaliwa tu anapewa mtu bila kujali anatokea wapi......llinatehemea tu Mungu amempa nini'.
 
Jakaya, an epitome of hypocrisy, and an author of most of our miseries. That man is fork tongued, subtle, conniving, ruthless and always feigns ignorance to lure his enemies into his killing fields.

Jakaya can persuade you to drink poison from a cup, assuring you that you'll not die, with a big smile on his face assuring you that you'll not die.

If Jakaya tells you it's midnight, make sure you go outside to confirm it for yourself.​
 
Mkuu unakaa chini una amini kuwa watu wa pwani sio smart ? Watu wameishi na wageni na kujifunza maarifa miaka zaidi ya 1000 wewe wa kajificheni uwe snart kuwazidi ! Hivi kwa nini mnakuwa hamtumii akilli kufikiri ?
Huwezi ongoza nchi hii bila baraka ya watu wa pwani.
Ktk movie ya apocalypto mwishoni zimeoneshwa meli/ majahazo yakiingia ktk mji kisha kuchinjana kukaishia pale, unajua majahazi yana ashiria nini ? Sasa kaskazini kuna bahari.
Kuna watu wanajidganta kuwa na madigrii ndio kuwa smart.
 
Back
Top Bottom