Ila Mkwere ni smart mno kichwani!

Kama ni akili Mkwere hana, alikuwa kichwa cha nazi tu. Sema kutawala Watanzania hakuhitaji uwe na akili kihivyo. Mkwere alitembea kwenye bahati tu
 
Kwa hiyo
 
Inawezekana mkwere kwa mali alizojikusanyia akiweka wazi mali anazomiliki anaweza akawa kwenye top 100 za richest people katika dunia, top 5 katika Afrika na namba moja Tanzania. Ameliibia hili taifa haijawahi kutokea sema watu mnababaika tu na ile fake smile.
 
A fake smile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…