Ila Nyiee Yanga raha, mara ya mwisho umeona wapi mua kama ule wa Aziz Ki?

Endeleeni kujadili miwa.. wenzenu tunafikiria namna ya kuzikabili timu za klabu bingwa africa.....
 
Endeleeni kujadili miwa.. wenzenu tunafikiria namna ya kuzikabili timu za klabu bingwa africa.....
😂 😂 kikubwa mua umepigwa, historia imeandikwa, hayo ya klabu bingwa africa tutafikiria baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…