min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha?
Yanachomeka flash drive, tunaangalia marudio ya mwaka 47 huku yenyewe yamekaa tu ndani na kupalilia mavitamvi yao ya kipumbavu .
Yanaonyesha maua uchwa mwezi mzima na vile nyimbo vyao uchwara
Safari channel kama taifa yanatukosesha pesa nyingi za kigeni wa uvivu wao wa kipumbavu kabisa.