Ipo wapi? Channel number ngapi DSTV?Ipo na ni nzuri ila wanaupumbavu wa kurudia maudhui kwa mda mrefu
mbona vijana nao wapo wengi tu?Sasa waandaaji wamejaa wazee unadhani Kutakuwa na ubunifu upi?
Inasikitisha sana.Hata nikifa nikabaki mifupa, ntafufuliwa mifupa ya mikono ikiwa kwenye dyudyu 😎
Upo sahihi mkuu na kuna baadhi nawajua, ishu n wapo chini ya nani, Yn nani kiongozi wao, sasa kama kiongozi n mkoloni usitegemee kupata kitu kipyambona vijana nao wapo wengi tu?