Na hii baridi hatuagizi za baridiMno bwashee
Hio safari channel iko wapi? DSTV au?Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha?
Yanachomeka flash drive, tunaangalia marudio ya mwaka 47 huku yenyewe yamekaa tu ndani na kupalilia mavitamvi yao ya kipumbavu .
Yanaonyesha maua uchwa mwezi mzima na vile nyimbo vyao uchwara
Safari channel kama taifa yanatukosesha pesa nyingi za kigeni wa uvivu wao wa kipumbavu kabisa.
Sijawahi kuionaKote tu bwashee
Wanaangalia takwimu za watazamaji wanaona Watz hamfatilii, yanini wapoteze muda na fedha?Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha?