Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha

Naam na hiyo ndio NATGEO ya kibongo
 
Hii chaneli wangepokea picha na videoa za wanyama/ndege na maudhui mengine wanayoonesha kutoka kwa watu wengine ambao si waajiri wao. Picha /video watapata nyingi tu, watu wataenda mbungani na kwingineko kupata picha za tv. Ishu ni malipo kwa mpiga picha pamoja na changamoto za kuingia mbugani kupiga picha za wanyama
 
Kumbe tunaopenda kuangalia vipindi vya mbugani yupo wengi.

Nature lover
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…