Ila sisi wadada jamani...

Ila sisi wadada jamani...

Pole mkuu.. agiza mirinda barrriidi halafu relax jF kama familia yako tunakusihi uwe mtulivu wakati tunatafakari cha kufanya juu ya wadada wenye tabia hii!
😂 😂 😂 😂
Ahsante mkuu, na ulijuaje am fond of Mirinda nyeusi eti.??
 
I was surprised pia, labda hamuamini mtu wake kwa kiwango hicho.!!
I like that 'desperate cow' though.!
Humuamini mtu wako ndo ukose Raha hata kwa wapita njia? That's insane. Hata mwanamme awe mhuni kiasi kipi hawezi tembea na dunia nzima.

She's just insecure and once the man finds out to what extent she is, atamtesa Sana.
 
Ahsante mdogo wangu, na kwanini aniombe kisafari cha dakika kadhaa tu? Bora hata ingekuwa safari ya bus na angepishwa kabisa.!
Au wangekodi boda wapande mishkaki wabanane vizuri kama hiyo ndo ilikua shida yake😂
 
Kiasili mwanamke ni kiumbe mwenye roho mbaya sana hasa inapokuja ni kwa mwanamke mwenzake huzidi mara 70,hutaki unaacha!!!

That's it
Sina hakika sana na hili, ila naamini kila kiumbe kina roho mbaya kwa nafasi yake.!!
 
Au wangekodi boda wapande mishkaki wabanane vizuri kama hiyo ndo ilikua shida yake😂
Haha..
Umewaza mbali mdogo wangu!
Exactly, walipaswa wafanye hili.!
 
Inawezekana umemzidi viwango, ndio maana aliona wivu akijua labda jamaa yake atakuomba namba ya simu!
Ila ni mpumbavu hana busara.
Haha..!!
Anaishije kwa wasiwasi hivyo? Akamate kifaa yake aweke tu ndani, asifanye maisha yetu kuwa magumu bure.!!
 
Nimeshindwa kuvumilia akii tena..! Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,

Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda,

Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa na seat mbili jirani kabisa na mlangoni pale, akatangulia mkaka akakaa, kisha nikafuatia mie nikakaa,

the next person kupanda akawa mdada, ila akafika pale pembeni yetu cha ajabu akasimama motionless for few seconds akanitazama kwa macho ya khasira halafu akaenda kukaa seat nyingine ya mbele yetu ipo upande wa dirishani..!

Sasa nikashindwaa, kwani this girl nimewahi ona wapi.? Ni nini mbaya naye.? Ni nini nimefanyiana naye mbona kanitazama kwa macho kama vile niliwahi patana naye sehemu.??

Nikawachana tu naye, nikachukua kisimu changu nikadumbukia JF, after a while nikaona yule mrembo akageuka then akawa ana discuss na huyo jamaa aliyeko jirani yangu kuwa washuke kituo gani..!!

Ndiyo nikaelewa, anhaaa' hawa watu kumbe wapo pamoja, nikajiambia tu huyu dada kwa lile jicho kanikata walaqhi' huyu pembeni yangu itakuwa ni kifaa yake, angekuwa brother ake asingeni maindi vile.!

Luckily, wakashuka zao baada ya vituo kadhaa, nikaona afadhali wapeleke ukuch kuch hotae wao huko mbele, (ain't jealous hata)..

Ila wadada hii wivu nyingine muwachane tu nayo, It's a public transport, ingawa ningejua they're together I swear nisinge interfere ningewapisha kabisa.!

I ain't even that mad though, Jioni njema kwenu.!
Popoma huyo nae. Kwani si hata angekuomba tu. Kisingeharibika kitu.

Nahisi umemzidi uzuri pia.😀
 
Kuna siku nimepanda daladala Buguruni, basi nilipata siti ya kushikilia bomba juu, mahali niliposimama kwenye siti ya jirani alikuwa amekaa binti mmoja halafu kavaa kigauni kifupi halafu tupaja fulani hivi amazing, mjuba si nikawa namchungulia kimtindo , kumbe mjuba wake amekaa siti ya nyuma ananicheki navyomnyari demu wake, walivyofika Riverside wakashuka kwa madaha huku wameshikana mikono, nikaishia kuwasindikiza kwa macho.
 
Hahaha

Watu wa Dar mna mambo.
 
Hiyo itategemea zaidi mapokezi ya part one yamekuaje, zaidi sana tutakaa na menejimenti kuzungumza hilo, kuwa mvumilivu.!
mpaka sasa mapokezi ya part 1 yamekua makubwa mno hivo jitahidi mwendelezo wake uwepo mazingira hayo hayo ya kupanda dala dala
 
Back
Top Bottom