Ila sisi wanawake tunamoyo sana imagine

Ila sisi wanawake tunamoyo sana imagine

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?

Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.

Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
 
Ila sisi wanaume tuna figo imagine unakutana na mwanamke humjui unalala nae hadi asubuhi

Hapo unaamka asubuhi hujatumia kinga na unamlipa kabisa dah! Je kama kakuambukiza kwahio unamlipa kwa kukugawia yutiyai
 
😃😀😀 Hapo unakuta umetoa elfu 10 matibabu baadae utatumia elfu 70 pamoja na sindano😃😃
 
Hii tuzo ilitakiwa kupewa wewe kwa uzi wako
IMG_0549.jpeg
 
Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?

Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.

Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
Sio wanawake wote. wapo ambao hawezi na hathubutui kwenda na mtu asiyemjua aliyekutana nae tu njiani. Hata kama ana upwiru na ana shida kiasi gani.
 
Back
Top Bottom