Ila sisi wanawake tunamoyo sana imagine

Ila sisi wanawake tunamoyo sana imagine

Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?

Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.

Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
...,...ukikutwa umekufa una chakulaumu¿¿
Ukifa unaweza kulaumu kweli?
 
Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?

Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.

Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
Hatari sana na ndiyo maana mara nyingi serial killers wanapenda kuua wanawake wanaojiuza barabaran maana ni rahisi kuwapata
 
Nani kakudanganya ni wanaojiuza imagine umetoka kazini unakutana namtu humjui eti umempenda unaenda kwake kulala nakuamkia huko kweli wewe unamjua kama ninani na kwanini mmekutana??
 
Huo ni umalaya naye anaangukia kundi la wanaojiuza…. Unakubali vipi kwenda kwa mwanaume ndio kwanza umekutana naye muda huo?? Umalaya Umalaya Umalaya
 
Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?

Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.

Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
Lipia tangazo lako
 
Hata kwenye maandiko tumeaswa kuishi na nyie kwa tahadhari kubwa.
 
Back
Top Bottom