Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Wewe ndio uliesema nikukague Bikra nikikukuta nayo nikupe B19?Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?
Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.
Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
Kwa mwenendo wa thread zako nadhani wameshakutoa hadi bikra za pua na masikioni