SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
TrueMbona nyie tulishasema hadi shetani mwenyewe anawaogopa.
Sijaelewa??Maisha ni VITA
Nipe kazi yakuwaza mafile na pesa .Ila hii nchi ni full kiwanda cha porno a vijana wake ndio wachezaji wa pilau.
Mtu anaamka asubuhi cha kwanza anawaza mitombo na kutombeka.
๐คฎ๐คฎ๐คฎ๐คฎ
๐๐๐ Hapo unakuta umetoa elfu 10 matibabu baadae utatumia elfu 70 pamoja na sindano๐๐Ila sisi wanaume tuna figo imagine unakutana na mwanamke humjui unalala nae hadi asubuhi
Hapo unaamka asubuhi hujatumia kinga na unamlipa kabisa dah! Je kama kakuambukiza kwahio unamlipa kwa kukugawia yutiyai
Sio wanawake wote. wapo ambao hawezi na hathubutui kwenda na mtu asiyemjua aliyekutana nae tu njiani. Hata kama ana upwiru na ana shida kiasi gani.Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?
Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.
Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??