Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Wewe ndio uliesema nikukague Bikra nikikukuta nayo nikupe B19?Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?
Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.
Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
Exactly πΉπΉHimalaya mountains
Hayo ni madharau aisee sijabaki ujue nanikipita bado naita so sio lazina unidharauWewe ndio uliesema nikukague Bikra nikikukuta nayo nikupe B19?
Kwa mwenendo wa thread zako nadhani wameshakutoa hadi bikra za pua na masikioni
Unanunua yutiaiIla sisi wanaume tuna figo imagine unakutana na mwanamke humjui unalala nae hadi asubuhi
Hapo unaamka asubuhi hujatumia kinga na unamlipa kabisa dah! Je kama kakuambukiza kwahio unamlipa kwa kukugawia yutiyai
Mkuu dadavua mpaka mwisho.Ilitokea wakati fulani hapa Dar kuna jamaa alikuwa anatongoza wanawake anaenda kuwaua kwa kuwavunja shingo,anachanganya location leo akiua Kinondoni kesho anauwa Keko kesho kutwa Gongo la Mboto na bado hawakujifunza akawa anawanasa.
Wa mwisho alikuja kumuuwa mke wa jamaa yetu hapa Kariakoo jamaa alikuwa muimba taarabu na kundi la marehemu somebody Kijoti wale waliopataga ajali,mke alidanganya anaenda kwa mama mdogo Buguruni akaenda kuvunjwa shingo Magomeni Mapipa.
Utalaumu vipi wakati umekufa...,anyway ushauri mzuri wahusika ufanyieni kaziUnakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?
Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.
Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??
SIuzu mie wajumlaBei gani?
holoholo una kitu cha kujifunza hapa. Wakati unateswa na mikasa itokanayo na mahusiano, mimi mwenzako ninapetiwa petiwa na mtoto mzuri SweetyCandy!Tate Mkuu i miss u jamani baba angu mganga wangu wa moyo my sweety pie my whole hearted nakupenda kuanzia unyayo wako hadi utosi wako .
Hii imeenda πππIla sisi wanaume tuna figo imagine unakutana na mwanamke humjui unalala nae hadi asubuhi
Hapo unaamka asubuhi hujatumia kinga na unamlipa kabisa dah! Je kama kakuambukiza kwahio unamlipa kwa kukugawia yutiyai
Huku mtwara vijana wanawaza hayo tuUkifa huwezi kulaumu zaidi ya kusubiri kuzikwa, nb umasikini mbaya sana
holoholo una kitu cha kujifunza hapa. Wakati unateswa na mikasa itokanayo na mahusiano, mimi mwenzako ninapetiwa petiwa na mtoto mzuri SweetyCandy!
Thanky you babe for this sweety message
Hahahaha π€£Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.?
Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai pesa.
Dah roho ngumu kama ya pakaa.
Imagine : unakutana na mtu barabarani usiku tayari umeshaenda naye guest au kwako ukikutwa umekufa unachakulaumu??