johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!