Uchaguzi 2020 Ila Tundu Lissu ana ujasiri. Unguja alimpigia kampeni Maalim Seif na Kigoma kampigia kampeni Zitto Kabwe

Politicians wengi wanapiga hesabu za mbali Sana,na kila alitendalo au kunena sio bahati mbaya, Lissu anaangalia beyond this election,so he is making friends or preparing his next episode...pia nadhani amechoka kuendesha jeshi la MTU mmoja.
Subutu yako. Lissu hata ahamie Chauma bado ana nguvu ya kuinyosha ccm
 
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.

Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.

Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.

Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.

Maendeleo hayana vyama!
Acha kupotosha watu,Lyatonga wa TLP hampigii kampeni JPM? Na alishauri Lissu na wenzake wasipoteze muda.
 
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.

Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.

Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.

Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona mbona hamyasemi jinsi watu walio simama back bench wakimzomea TAL mpaka mkutano akaufupisha? Kigoma nilisikia hivyo, Sumbawanga nako hivyo hivyo.
 
..hiyo ni demokrasia.

..watu wanaonyesha hisia zao ktk mikutano ya cdm.

..ila ninachojiuliza ni kama watu wanaweza kuzomea ktk mikutano ya ccm halafu dola isiwaumize.
 
Mbona mbona hamyasemi jinsi watu walio simama back bench wakimzomea TAL mpaka mkutano akaufupisha? Kigoma nilisikia hivyo, Sumbawanga nako hivyo hivyo.
Kwenye siasa kuzomewa ni jambo la kawaida sana..... Hata siasa za shule za sekondari kuchagua HP huwa wanazomeana bwashee!
 
anajaribu tu kuwaonesha kua hana kinyongo na wengine ila mpeni nchi ndo mtamfahamu kua ni paka alieficha makucha akaija kuyachoma mtajuta bora hata mzee wa burigi tulishamzoea
 
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.

Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.

Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.

Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu ni wewe!!? Hongera
 
Mwenye kikundi chake anamwangalia tu, atampitishia dirishani safari hii.

Ngoja uchaguzi upite.
Rais gani anaweza kupitishiwa dirishani?Kama kusoma haufahamu hata picha hauzioni?Mh.Lissu is going to be Our Next President, how about that?
 
Back
Top Bottom