johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anaujua umuhimu wa zito bungeni ndio maana kaamua hivyokwa iyo chama chake hakijaweka mgombea jimbo LA zitto
Meko anakamilisha ndoto zake za utotoniHiyo ndiyo tofauti Kati ya magufuli na tundu lissu, angalia jinsi magufuli anavyojipendelea yaani kilakitu anataka afanye yeye mpaka Kwenye kuzindua VYOO VYA STENDI
Chama kinamchelewesha. Ameamua kuhitimisha hoja mwenyeweMnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio maana ya maelewano. Una respect territory za wenginekwa iyo chama chake hakijaweka mgombea jimbo LA zitto
Halikuhusukwa iyo chama chake hakijaweka mgombea jimbo LA zitto
Mwenyekiti wa saccos, kwake biashara ni asubuhi jioni mahesabu.Mwenye kikundi chake anamwangalia tu, atampitishia dirishani safari hii.
Ngoja uchaguzi upite.
Wewe pangu pakavu tia mchuzi kamwe humuwezi Mbowe Mbowe hakurupuki anajua ya mbele na alikuwa anatengeneza mfumo ndiyo maana sasa ka relax kidogo chama hakifi kamwe sasaChama kinamchelewesha. Ameamua kuhitimisha hoja mwenyewe
Lissu hana Kinyongo ni Mtu mwema sana.Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Very Briliant. Hakati kati makona. Anayoosha kama rulerLissu ana akili sana