Subutu yako. Lissu hata ahamie Chauma bado ana nguvu ya kuinyosha ccmPoliticians wengi wanapiga hesabu za mbali Sana,na kila alitendalo au kunena sio bahati mbaya, Lissu anaangalia beyond this election,so he is making friends or preparing his next episode...pia nadhani amechoka kuendesha jeshi la MTU mmoja.
Very straight forwadAmeshatanabahisha, adui yake mkubwa ni CCM na wala siyo wapinzani wenzake.
Acha kupotosha watu,Lyatonga wa TLP hampigii kampeni JPM? Na alishauri Lissu na wenzake wasipoteze muda.Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona mbona hamyasemi jinsi watu walio simama back bench wakimzomea TAL mpaka mkutano akaufupisha? Kigoma nilisikia hivyo, Sumbawanga nako hivyo hivyo.Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona mbona hamyasemi jinsi watu walio simama back bench wakimzomea TAL mpaka mkutano akaufupisha? Kigoma nilisikia hivyo, Sumbawanga nako hivyo hivyo.
Amewaomba wananchi kumchagua mgombea ambaye wanauhakika ataishinda CCM kwenye majimbo yaokwa iyo chama chake hakijaweka mgombea jimbo LA zitto
Kwenye siasa kuzomewa ni jambo la kawaida sana..... Hata siasa za shule za sekondari kuchagua HP huwa wanazomeana bwashee!Mbona mbona hamyasemi jinsi watu walio simama back bench wakimzomea TAL mpaka mkutano akaufupisha? Kigoma nilisikia hivyo, Sumbawanga nako hivyo hivyo.
Nilidhani anawadhalilisha wagombea wa chama chenu bwashee!Nia ni moja, kuua joka la kijani kwa kushirikiana na kila mwenye nia na nguvu.
Lissu ana akili sana
Mkuu ni wewe!!? HongeraMnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo hayana vyama!Mkuu ni wewe!!? Hongera
Kwa kula rambirambi zaoMwenye huruma kwa Wananchi anaonekana kwa macho na ufahamu wake.
SawaSubutu yako. Lissu hata ahamie Chauma bado ana nguvu ya kuinyosha ccm
Rais gani anaweza kupitishiwa dirishani?Kama kusoma haufahamu hata picha hauzioni?Mh.Lissu is going to be Our Next President, how about that?Mwenye kikundi chake anamwangalia tu, atampitishia dirishani safari hii.
Ngoja uchaguzi upite.