Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

Sayansi yenyewe ndiyo hii ya kukariri?
Sawa! Labda akiwa na Wanauchumi Wazuri,na Wazalendo kwa Taifa lao.
Vipi Mkuu, Wanasayansi wengi wametoka Ulaya na Marekani mf.akina Eistern,Newton,Flemming,nk vipi Nchi hizo zimeendelea kwa sababu wanasayansi hao waliwahi kuwa Marais?
 
China Rais lazima awe Engineer ndiyo maana unawaona wanavyoyesa
 
Rais wa China tangu mwaka 1990 lazima awe na digrii ya engineering na ndicho kipindi ambacho China imeendelea kwa kasi sana
Nami nimeandika kabla ya kusoma hii yako. Ni sahihi na ona wanayoyafanya sasa. Mpaka spare parts za magari tunazotumia hapa TZ zinatoka China imara of course na mbovu ni nyingi
 
Kweli!

Kilimo pekee kama tungewekeza vizuri,tungeilisha Dunia!na ukiilisha Dunia tu wewe ni tajiri!

Mataifa ya ulaya hayana chakula chao na hawana virutubisho vya kutosha ni vile wanaviiba huku Africa!!

Hata Mimi nikishika tunapiga hatua,ni vile connection na uchawa sina!!

Kuna mengi mazuri ya asili na nguvu kazi iliyopo tunaweza tumia!!

Tuna jkt na jeshi la magereza tunaweza kutumia vizuri na wakawa productive kama china inavyitumia wafungwa kwenye makampuni!!

KAZI na utu,tunasonga mbele!
 
Ukiona mtu alifeli Form4, Moja ya tafsiri yake ni kwamba ni mvivu wa kusoma, mvivu wa kufikiri au Hana kumbu kumbu.

Sasa huyu mtu atasomaje Reports mbali mbali kwenye meza ya Rais? Ata digest vipi mawazo mbali mbali ya balaza la mawaziri kama tu hoja zaifu za Mfekane war zilimshinda?

Itabidi aishie kusema na hili mkalitizame
 
Unataka kusemaje? 😂
Hata mm najiuliza anataka kusema nn jaman kumbe bado hz mbuz zipo hajui ulaya watu physics inasomwa na historia aerodynamics inasomwa na buzz administration au civil engineering inasomwa na drawing na poetry huyu mpumbav kwel
 
Mleta mada kama ungetuwekea ka CV kako tungekua na hoja za kuchangia,lkn kwa sababu umekuja kimya kimya basi na mimi napita kimya kimya
 
Si unaona sasa, tunatawaliwa na mtu aliyekariri Qur'an tu.....ona upuuzi aufanyao yeye na mwanawe na washikaji zao. Yaani anashindwa kuona mbele kimaendeleo, anapanga na makuwadi (kina Kikwete) kuua kiongozi wa nchi ili kuirudiisha nchi nyuma kimaendeleo na wao kuliibia taifa nje nje. Watanzania tunalala wapi jamani, huyu Mama hatufai na kina Kikwete washikishwe adabu, ni kosa kubwa sana kuwaona bado wanaishi huku tukiwabeza.
#WanaMtandaoWoteWachinjwe #KwaniniKikweteBadoAnaishi
 
🚮🚮
 
Pia sio mchapakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…