Ila waganga mmh, hayaa

Ila waganga mmh, hayaa

Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.

1.sisi vijana tunapenda hela za haraka .

So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale nawewe ili dawa ingiee vizuri .

Sio wewe tu , na maria , Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa yakuweka huko.

Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo.
Na mtu anaweza kupata UTI, na magonjwa ya azinaa ila hajali Kwa maana kanogewa .

Saivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .

Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wawatu . Kwa hiyo huduma ai basi tu .
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.

Merry Xmass and Happy New Year
Usifanye watu waanze kuwa waganga ili wawavune wadada vizuri😆🤣
 
Hahaha mkuu bhana
 
Nimeshihudia Mganga anamuogesha dawa mama mtu mzima mtoni baada ya kumaliza akampiga mashine mimi nimebana kichakani nasikilizia mchongo wote.
Nikakausha nikasepa zangu.
Wewe ndo yule wa msemao au?!
 
Sema nn mangi, kumwaga jasho ili kupata mali ni kitu cha msingi, ila wengi hawataki so ngoja waganga wawamwagie wao na wasifanikiwe ndio watajua hawajui
 
Nimeshihudia Mganga anamuogesha dawa mama mtu mzima mtoni baada ya kumaliza akampiga mashine mimi nimebana kichakani nasikilizia mchongo wote.
Nikakausha nikasepa zangu.
Ungerekod ngoma utuwekee connection hapa 🤭🤭
 
Nimeshihudia Mganga anamuogesha dawa mama mtu mzima mtoni baada ya kumaliza akampiga mashine mimi nimebana kichakani nasikilizia mchongo wote.
Nikakausha nikasepa zangu.
Unaona ndio nimeona namimi nikastaajabu hadi aibu Sasa mie ni mara mbili me na ke wanapigwa mashine hatari.
 
Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.

1.sisi vijana tunapenda hela za haraka .

So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale nawewe ili dawa ingiee vizuri .

Sio wewe tu , na maria , Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa yakuweka huko.

Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo.
Na mtu anaweza kupata UTI, na magonjwa ya azinaa ila hajali Kwa maana kanogewa .

Saivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .

Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wawatu . Kwa hiyo huduma ai basi tu .
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.

Merry Xmass and Happy New Year
Wengine mngebaki kuwa wachangiaji tu sio Kila mtu afungue thread
 
Kutokujiamini huko! Kwanini waende kwa waganga?
 
Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.

1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka.

So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri.

Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa ya kuweka huko.

Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo. Na mtu anaweza kupata UTI na magonjwa ya zinaa ila hajali Kwa maana kanogewa.

Sahivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .

Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wa watu. Kwa hiyo huduma ai basi tu.
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.

Merry Xmass and Happy New Year
Kawapanga foleni na leo umestuka ndo unatoa ya moyoni
 
Back
Top Bottom