Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.
1.sisi vijana tunapenda hela za haraka .
So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale nawewe ili dawa ingiee vizuri .
Sio wewe tu , na maria , Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa yakuweka huko.
Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo.
Na mtu anaweza kupata UTI, na magonjwa ya azinaa ila hajali Kwa maana kanogewa .
Saivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .
Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wawatu . Kwa hiyo huduma ai basi tu .
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.
Merry Xmass and Happy New Year