Ila waganga mmh, hayaa

Ila waganga mmh, hayaa

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.

1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka.

So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri.

Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa ya kuweka huko.

Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo. Na mtu anaweza kupata UTI na magonjwa ya zinaa ila hajali Kwa maana kanogewa.

Sahivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .

Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wa watu. Kwa hiyo huduma ai basi tu.
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.

Merry Xmass and Happy New Year
 
Duh! Mambo Ni mengi muda mchache aisee!

Hivi kimekukuta Nini huko kwa waganga?
 
Mtu mpaka umeamua kwenda kwa mganga tayari upo tayari kupokea sharti lolote na hapo ndiyo wanapojipigia gonga kote
 
Nimegairi wazo la kuja pm itakuwa umepitia mengi mno.
Sawa tu kwanza wewe sio nyota yangu naijua nyota yangu tupo uchaggani tunachakatana na mbege hapo pembeni na wajomba wanapewa sehemu Yao ya mahari bro too late to catch the basi nitasema ukweli pale panapo hitajika sifumbii machoo.
 
Back
Top Bottom