Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

hii nyimbo ya choo ninayo ila sijawai kuisikiliza baadaye naisikikiliza alafu itafuata mtoto kautaka, amelowa alafu nani kajamba asante mlets uzi siku izi nyimbo za ujumbe hazina soko
 
hii nyimbo ya choo ninayo ila sijawai kuisikiliza baadaye naisikikiliza alafu itafuata mtoto kautaka, amelowa alafu nani kajamba asante mlets uzi siku izi nyimbo za ujumbe hazina soko
Hahaha mimi nachohofia ni watoto wetu hawa wenye akili kama train kusikiliza hizi nyimbo bora hata siisi tunajua kuchuja
 
Aache kuingia mtandaoni.
Upeo wako ni hafifu, hau-visualize katika uwanda mpana wa fikra ya reasoning.

Ungekuwa bora katika hili, usingeshangaa kuona nyuzi kama hzi zikilalamika utupu uliopo kila kona ambayo mtu itapaswa upite ili upate huduma fulani.

Kinachofata utaaambia watu wajitoboe macho ili wasiwaangalie wadada wanaovaa nusu uchi mtaani.

🐖🐖
 
Nyimbo za hovyo kama huo toilet, Eti toilet ya...... Unaenda bila kuvaa Viatu. Ni wa hovyo sana kwenye zama hizi. BASATA mko wapi?
 
Wanapenda kufirwanakufira ndo michezo wanayoipenda
Bueno Mbaga Jr siamini common questions zote zilizo generate hizi google autosuggestion ni za wanaume, it shows anal sex ni interest ya watu wengi
Screenshot_20250115-081021.jpg
 
Juzi nmechungulia simu ya Mr nashangaa naona makali* yanachezeshwa na alisema anaangalia mpira kwa simu. Namuuliza ndio anasema hio site wanaweka hizo kwenye matangazo. Yan ni mwendo wa makali* tu kila sehemu hata usipotaka utayaona.
Hahahah

AHSANTE DADA, NIMEPENDA KAULI YAKO

"HATA USIPOPENDA UTAYAONA"

yani unaweza kuta unaingia kutafuta kitu youtube unakutana na tangazo dating site la mabinti wanacheza uchi uchi
 
Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.

Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.

Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?

Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Wqcha tucheki misambwanda vwana wengine hatuna hela angalau tukiona misambwana tunapata picha za kupigia nyeto
 
Juzi nmechungulia simu ya Mr nashangaa naona makali* yanachezeshwa na alisema anaangalia mpira kwa simu. Namuuliza ndio anasema hio site wanaweka hizo kwenye matangazo. Yan ni mwendo wa makali* tu kila sehemu hata usipotaka utayaona.
Nawe ungemtingishia kalio lako um tease bby wako bwana
 
Back
Top Bottom