Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Nyie ndio mnachangia kuharibu jamii pumbav......
Utafikiri unaishi kisiwani.......
Siku ukiona kibinti chako kinarusha tako
Au kidada chako ndio utaelewa kwamba tatizo ni la jamii
Sasa mnataka hao mabinti wenu wawatingishie nyie baba zao matakoz?
Acheni uchoyo bwana wacheni binti zenu watupe raha na sie tuone uumbaji
 
Upeo wako ni hafifu, hau-visualize katika uwanda mpana wa fikra ya reasoning.

Ungekuwa bora katika hili, usingeshangaa kuona nyuzi kama hzi zikilalamika utupu uliopo kila kona ambayo mtu itapaswa upite ili upate huduma fulani.

Kinachofata utaaambia watu wajitoboe macho ili wasiwaangalie wadada wanaovaa nusu uchi mtaani.

🐖🐖
Unapenda wavae hijabu, baibui na magauni mapana tu?
 
Umejiexpose vibaya sana bro, ni hivi, Algorithm ya instagram inakuonuesha vile vitu unavyovutiwa navyo, huwa inaangalia picha za aina flani unazi-like sana, au unachukua muda mrefu ndani ya page za aina flani, hivyo hata matangazo ya biashara utaoewa yale unayoendana nayo, vivyo hivyo hata content zipo taylor made kwa ajili yako. Wewe unapemda sana hivyo vitu, ndio maana Algoritn inakupa unachopenda. Mnafiki wewe hadi unatia aibu.
Sasa Sheikh ww unaperuzi zako insta mara ghafra msambwanda huo umekatiza utashindwa kufungua kweli? Emu kuwa muwazi.
 
Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.

Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.

Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?

Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Ndo pale unaulizwa hivi ulingilia kwa bi nyau au ulingilia kwa mpalange?
 
Piga marufuku music ya kina Nicky Minaj na Diamond Platnumz. Ndani kila mtu awe na youtube channel yake na video zake ndio utaona wanaangalia nini. Nyumbani hakuna kuongea lugha za matusi. Waambie kabisa watoto, wakiume au wa kike, umalaya sio kitu kizuri.
Mambo mengi na muda hautoshi na ndio hivyo sio rahisi lakini tujitahidi kuwaokoa watoto zetu kwenye hii Dunia
 
Umejiexpose vibaya sana bro, ni hivi, Algorithm ya instagram inakuonuesha vile vitu unavyovutiwa navyo, huwa inaangalia picha za aina flani unazi-like sana, au unachukua muda mrefu ndani ya page za aina flani, hivyo hata matangazo ya biashara utaoewa yale unayoendana nayo, vivyo hivyo hata content zipo taylor made kwa ajili yako. Wewe unapemda sana hivyo vitu, ndio maana Algoritn inakupa unachopenda. Mnafiki wewe hadi unatia aibu.
Umeongea vyema. Mimi nikifungua insta sioni hayo mambo aliyosema mtoa mada ni hadi nitatafute mwenyewe.

Ni sawa na X (twitter), watu wanalamika kuna picha za ngono lakini mimi sizioni.
ila X nina account mbili...hiyo nyingine ndo huwa naona maana ni mimi mwenyewe nimeamua nizione😅.

So huyu jamaa hayo mambo ndo anayoyapenda.
 
Ni moja ya sababu iliyonifanya niachane na mitandao yote na kubaki na jf pekee,
Unashindwa hata kufungua Instagram/x unapokua karibu na watu sasa wa nini kuwa nao
Unfollow pages zote kwenye insta yako halafua uanze upya kufollow pages za maana tu. Hilo linawezekana. Na hutakaa uone ujinga wowote.

Tatizo umefollow misambwanda wewe mwenyewe kwa raha zako halafu utegemee kuona wakiimba gospel? Ndugu are you serious?
 
Kama anakereka akiingia Insta anakutana na misambwanda si aache tu kuingia Insta, mbona hili jambo rahisi sana!
Mbona wengine tunaingia na hatuoni hayo anayoyaona yeye?
 
Huku mtaan mtoto akikatika mauno na kuimba nyimbo za matusi ndio furaha ya mtaa nakupongezwa atapongezwa
 
Back
Top Bottom