Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Ukampe mipango endelevu!njoo inbox ana..
'He should wait for the backup..!?'ππ"The Suspect Is Considered Armed And Dangerous, Do Not Engage, I Repeat Do Not Engage. Over"
Kaandika kama unique flowerHebu tulia uandike vizuri umeandika mambo mingi.
HahahaWanataka katikati tu huko kuoa ni mpaka wapate wanayemtaka wao
Poleni!Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?π
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?ππΎ
Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?π
Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!πΉπΉπ
Stay focused #2025 #2026#2027.