"Its just like discussing Malaria with mosquitos"🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣😂
View attachment 3262630
Mwanaume kamwe usijitie uchizi kumshirikisha mwanamke atakuvurugia tuuuu hawana mema hawa majitu🤝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Its just like discussing Malaria with mosquitos"🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣😂
View attachment 3262630
asavaa tafadhali uko sahihi lakin sio wote. Wanaume mnapolaumu kwamba mapenzi amekukatisha tamaa amekuchefua kumbuka na ww una shida ukashindwa kuchagua mwema. Maana wako so many out there."Its just like discussing Malaria with mosquitos"
Mwanaume kamwe usijitie uchizi kumshirikisha mwanamke atakuvurugia tuuuu hawana mema hawa majitu🤝
Women wapo emotional, so ukimshirikisha vitu vinavyohitaji akili atakupa majibu/ michango😂😂😂 kama sio mvumilivu unaweza mtukana kabisa.Kom
asavaa tafadhali uko sahihi lakin sio wote. Wanaume mnapolaumu kwamba mapenzi amekukatisha tamaa amekuchefua kumbuka na ww una shida ukashindwa kuchagua mwema. Maana wako so many out there.
Ndio mana ndoa za sikuhiz Kila wanaoshauri huanzia kwenye point kwamba inaonekana tajiriba zenu hamkutakiwa kuishi pamoja ni ww ulikosea hata kama hawata kwambia Kisha huanzia kujaribu kutengeneza kuanzia hapo.
Sasa hiyo 50/50 itabalance je? Hata maeneo ya kazi ni changamoto.Women wapo emotional so ukimshirikisha vitu vinavyohitaji akili atakupa majibu/ michango😂😂😂 kama sio mvumilivu unaweza mtukana kabisa.
50/50 haiwezekani haiendani na nature ya mwanamke kupenda kupewa kuliko kutoa.Moto unaowaka huko kwenye mahusiano ndio hizi yowe tunazozisikia hapa.Sasa hiyo 50/50 itabalance je? Hata maeneo ya kazi ni changamoto.
Ila kabla ya 2000 nukuu ya Kila mwanaume mwenye mafanikio Kuna figure ya kike nyuma ake ilikuwa effective baada ya 2000s ikaexpire.😅
Single mother uwe naye wiki hajatangaza shida zake na mtoto, akikaa kimya jua anakutega uyavagae mazima!Eh sawa ndo mmekalili ivyo Kila mtu mdangaji
SawaSingle mother uwe naye wiki hajatangaza shida zake na mtoto, akikaa kimya jua anakutega uyavagae mazima!
mimi tayari bado nyie 😂Hakika yaan🙌🤣🤣
kuna shemeji yako mmoja nimempiga chini hivi karibuni, siku ya kuachana nae aliniambia eti "yaani we mwanaume umenichezea hivyo mwili wangu na sijala hata hela yako, halafu leo hii unaniacha? Subiri nitakukomesha"Kitendo cha wanawake kufikiria kwamba kukupatia mbususu ni kama favour huwa nashindwa kukielewa, maana tumekutana wote tuna hamu, tumejamiiana, sasa mwanaume akiamua ku move on unaanza malalamiko ooh ulikuwa unanichezea etc. WTF??!
HahahaUnakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?😎
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?🙌🏾
Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?😈
Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!😹😹😏
Stay focused #2025 #2026#2027.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukampe mipango endelevu!
Jamaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu hujakutolea mahari ushamuonesha uchi ,utakuwa na akili timamu kweli?
Sawa na wanajiuza .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka mitatu uchumba gani huo?
Unaacha kudanga zako miaka mitatu unamganda mwanaume mmoja?
Ni Mumeo huyo?.