Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Kom
"Its just like discussing Malaria with mosquitos"

Mwanaume kamwe usijitie uchizi kumshirikisha mwanamke atakuvurugia tuuuu hawana mema hawa majitu🤝
asavaa tafadhali uko sahihi lakin sio wote. Wanaume mnapolaumu kwamba mapenzi amekukatisha tamaa amekuchefua kumbuka na ww una shida ukashindwa kuchagua mwema. Maana wako so many out there.

Ndio mana ndoa za sikuhiz Kila wanaoshauri huanzia kwenye point kwamba inaonekana tajiriba zenu hamkutakiwa kuishi pamoja ni ww ulikosea hata kama hawata kwambia Kisha huanzia kujaribu kutengeneza kuanzia hapo.
 
Women wapo emotional, so ukimshirikisha vitu vinavyohitaji akili atakupa majibu/ michango😂😂😂 kama sio mvumilivu unaweza mtukana kabisa.
 
Women wapo emotional so ukimshirikisha vitu vinavyohitaji akili atakupa majibu/ michango😂😂😂 kama sio mvumilivu unaweza mtukana kabisa.
Sasa hiyo 50/50 itabalance je? Hata maeneo ya kazi ni changamoto.
Ila kabla ya 2000 nukuu ya Kila mwanaume mwenye mafanikio Kuna figure ya kike nyuma ake ilikuwa effective baada ya 2000s ikaexpire.😅
 
Sasa hiyo 50/50 itabalance je? Hata maeneo ya kazi ni changamoto.
Ila kabla ya 2000 nukuu ya Kila mwanaume mwenye mafanikio Kuna figure ya kike nyuma ake ilikuwa effective baada ya 2000s ikaexpire.😅
50/50 haiwezekani haiendani na nature ya mwanamke kupenda kupewa kuliko kutoa.Moto unaowaka huko kwenye mahusiano ndio hizi yowe tunazozisikia hapa.
 
Kitendo cha wanawake kufikiria kwamba kukupatia mbususu ni kama favour huwa nashindwa kukielewa, maana tumekutana wote tuna hamu, tumejamiiana, sasa mwanaume akiamua ku move on unaanza malalamiko ooh ulikuwa unanichezea etc. WTF??!
kuna shemeji yako mmoja nimempiga chini hivi karibuni, siku ya kuachana nae aliniambia eti "yaani we mwanaume umenichezea hivyo mwili wangu na sijala hata hela yako, halafu leo hii unaniacha? Subiri nitakukomesha"

Ni wiki ya tatu sasa tangu anitamkie maneno hayo.
 
Kudumu na mtu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 3 sio kibari cha ww mwanamke kubeba mimba

Mimba ni mipango mimba ni makubariano
Mimba ni kureta binadamu dunian sio kitendo kidogo
Ww umetokana na mimba mimi nmetokana na mimba , Mimba ni kureta mtu dunian mbona tunachukuria poa
 
Ombaomba wenzako waliokaa mabarabarani tukiwaambia hatuna hela mbona wao wanatuelewa? Kwanini usiwe muelewa kama ombaomba wenzako?
 
Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?😎

Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?🙌🏾

Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?😈

Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!😹😹😏

Stay focused #2025 #2026#2027.
Hahaha
 
Back
Top Bottom