Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?๐Ÿ˜Ž

Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?๐Ÿ˜ˆ

Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜

Stay focused #2025 #2026#2027.
Wanawake mkishatambua mnahitaji nini, dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi
 
Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?๐Ÿ˜Ž

Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?๐Ÿ˜ˆ

Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜

Stay focused #2025 #2026#2027.
Wee una stress sio bure...kesho ngoja nikupeleke taifa ukapoze stress bill zote juu yangu mzabzab
 
Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?๐Ÿ˜Ž

Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?๐Ÿ˜ˆ

Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜

Stay focused #2025 #2026#2027.
Kwani we ulijua wanaume ni malaika eti? Sisi ni binaadam kama wewe tu,hizo shida ulizonazo hata sisi tunazo, kaza mtoto wa kike si tumekubaliana kuwa ni 50/50, pambana upate Hela sasa.
 
Wanaume watafanya kazi Kwa jasho na mwanamke atazaa Kwa uchungu andiko limesema na halijasema tufanye kazi Ili tujileee [emoji3][emoji3] Mzee baba fany kazi ugawe jasho lako [emoji3]
Yani walioenda the Dome masaki kuona wachekeshaji wangepitia humu sidhani kama wangeelekea kule, maana tayar wangesha kinai kucheka. ๐Ÿ™ƒ๐Ÿซ 
 
Pia intellectual kama mie somo ake. Bongo inachaji saa 24 mpk kero, unaongea na watu wanaanza kukutizama kwa wasiwasi unajiuliza kisa labda ni mwana jukwaa, researcher nk. Na hapo ni Dar ikiwa mkoani je?
 
Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?๐Ÿ˜Ž

Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?๐Ÿ˜ˆ

Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜

Stay focused #2025 #2026#2027.
Anakuwa na wewe huku anatafuta mwingine ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nahisi huu Uzi alofungua hakuna na Nia ya kuzua vichekesho na vihoja ama inaashiria huko mapenzini Kuna mahoka ya kukata na shoka. Mungu saidia mapenzi na mahusiano ya Leo.

Yarudi kuwa yale ya kitabu Cha wimbo ulio bora. Ikiwezekana.
 
Inaonekana Hapa anatafuta uhalali tuu. (Verification)
Sasa watu badala ya kuverify wanaanza kumpiga Danadana. Au ule mpira wa ku_ suffer wanamchanganya.

Ndio mana Huwa nasemaga hii jf ni rejea ya wengi ktk kuchukua maamuzi yanayoathiri Moja kwa Moja maisha yao ivyo mnapochangia nyuzi tuwe makini mno maana kuna aminika kuliko eneo lolote.
 
Back
Top Bottom