Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Kwanini ubebe mimba bila kumshirikisha in advance kwamba unahitaji kuwa mama (tu-assume mimba haikuwa ya Bahati mbaya I.e.kalenda iliyumba)., though haifanyi huyo mwanaume akwepe majukumu ya kutoa matunzo (matunzo yapo pale pale)

Uwe mwanamke au mwanaume ukigegedana bila condom, outcome ni mimba na magonjwa ya zinaa hivyo ikitokea kimojawapo kama wewe hiyo mimba hilo ni lako mpaka pale msababishi wa mimba ataonyesha dhamira ya kukuoa lakini asipoonyesha dhamira ya kuoa hapaswi kulaumiwa kwa kuwa lengo lenu lilikuwa ni kugegedana

Hata mwanaume pia, akiambiwa amesababisha mimba hata kama hataki kuoa, lazima wallet itoboke atoe matunzo.
 
Mbona ni malalamiko tu! Kumetokea nini?
 
Duh😹 mwenzio na changia Tena adi shopping unafanya mtu khaa hasemi ?
 
Na sisi tukitaka ela tukiwachezea tumeamua kumove on sio favour mmefanya so Kila mtu tuseme sio favour kamfanyia mwenzie
 
pole
 
Single mother wanachowaza ni kudanga tu na mashindano ya kuwapost watoto na nguo mpya,
Kichwani hamna kitu hata walioajiria wanachowaza udangaji tu!
Eh sawa ndo mmekalili ivyo Kila mtu mdangaji
 
Nyie mnapata mara mbili, utam na pesa sie mara moja utamu na uchungu wa kutoa pesa isiyozaa.

Kihasibu sisi ndio tunakula hasara.
Au sio mwana accountant πŸ˜ΉπŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…