Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Hapo imetoa 8k ya kitimito unakuja kulia lia JFKumbe mmeshajihalalisha kila mkitolewa out ni lazima mliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo imetoa 8k ya kitimito unakuja kulia lia JFKumbe mmeshajihalalisha kila mkitolewa out ni lazima mliwe
Naona wachaga mmekuja😆Mkuu,
Mie sina shida na lawama zako ulizowatupia wadada,
Lakini je, kulikuwa na ulazima wowote wa kutaja neno 'mchaga'..??
Naona fisi unavyomeza mate🤣🤣Amakweli penye miti hamnaga wajenzi....🙄
Mimi nimestaafu kabisa, wanawake wote ni dada zangu kwasasa😅Kuna baadhi ya wanawake inabidi uwaangalie tu km walivyo. Ukijifanya una tamaa ndiyo mwanzo wa kubeba matatizo hata kuvuruga kbsa maisha yako kiujumla.
Safi sana. Kaangalie hivyo hivyo
Mimi nilishaacha kutongoza wanawake ovyo ovyo, kuna wengine hawana utulivu wa akili kabisa.
Kama huyo mwanamke anawaza kutumia pesa zako tu, hapo mkuu hilo ni bomu. Kimbia
8k nayo unaona ni pesa kweli ya kuja kulia humuHapo imetoa 8k ya kitimito unakuja kulia lia JF
Mkuu kwani unaumia nini nikitaja hili kabila la wasaka tonge😂😂😂
Hivyo kila mtoa thread humu ndani aanze kutaja kabila la muhusika wa story yake, si litakuwa jumba la makumbusho..??
Kesi yanini mkuuAchana na huyo mwanamke, atakuletea kesi mkuu.
Wanadhani kila shimo ni la kuingia tuNaona fisi unavyomeza mate🤣🤣
Hapana fisi mkuu, hapa nimekuja kuwatetea wachaga wenzangu...🤣Naona fisi unavyomeza mate🤣🤣
Yesu....🙆♂️Wanadhani kila shimo ni la kuingia tu
Hell noWanadhani kila shimo ni la kuingia tu
Sasa Kama sio pesa mbona unakuja kulia lia huku kuwa unaombwa outings na mtoto mdhuli mdhuli8k nayo unaona ni pesa kweli ya kuja kulia humu
Kwa New Katoto si ndioYes mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama ni "mchaga" hutaki aseme..?
Mstaafu mwenzangu kula[emoji106]Mimi nimestaafu kabisa, wanawake wote ni dada zangu kwasasa[emoji28]
Unajua maana ya kulia weweSasa Kama sio pesa mbona unakuja kulia lia huku kuwa unaombwa outings na mtoto mdhuli mdhuli
Hapana mkuu kwanza yule new katoto nilimlamba block kwenye group alitaka kuanza kuleta upuuzi wake kwenye groupKwa New Katoto si ndio
Kwa nin tena?Hapana mkuu kwanza yule new katoto nilimlamba block kwenye group alitaka kuanza kuleta upuuzi wake kwenye group